Uza kwa Mkopo Bila Hasara, Lipwa Papo Hapo.
EasyKopa inawawezesha maduka ya simu na mawakala kuuza kwa mkopo na kuongeza mauzo, kupata malipo ya haraka, na kujenga kipato endelevu kupitia mfumo salama wa kidijitali.
Kinachotutofautisha na Wengine
- Malipo Papo Hapo
- Hakuna Hasara ya Mikopo
- Mfumo wa Kidijitali
Huduma Zetu
Chagua Fursa Inayokufaa
EasyKopa imeundwa kuwasaidia Dealers na Wakala kukua kwa kasi bila hasara ya mikopo. Chagua fursa kwa ajili yako hapa chini na anza safari ya mafanikio leo.
- Uza kwa mkopo, lipwa papo hapo
- Ondoa hatari ya wateja wasiolipa
- Ongeza mauzo bila kuongeza mtaji
- Simamia biashara kwa mfumo kidijitali
- Anza bila kuwa na mtaji mkubwa
- Pata stock ya uhakika kirahisi
- Lipwa kamisheni kila siku
- Jenga kipato endelevu kwa uhakika
- Lipa kidogo, chukua simu leo
- Malipo rahisi ya miezi 6–12
- Hakuna usumbufu wa dhamana ngumu
- Mfumo salama wa malipo kidijitali
Kwa Nini Wafanyabiashara Wanachagua EasyKopa?
Maduka yanaongeza mauzo bila kubeba hasara na hatari ya mikopo. Unauza leo, unalipwa papo hapo bila kusubiri.
Wafanyabiashara
500+
Wako Nasi Tanzania
EasyKopa Inafanyaje Kazi?
Mfumo wetu umeundwa kuwa rahisi, salama na wenye faida kwa kila upande — mteja, Dealer na SME.
Mfumo wa EasyKopa
- Hupunguza hatari ya mikopo
- Hulipa papo hapo bila kusubiri
- Huboresha usimamizi wa mauzo
Mteja Anapata Simu kwa Mkopo
Mteja analipa kiasi kidogo cha kuanzia kisha kuchukua simu yake mara moja.
Malipo yaliyobaki hulipwa kwa awamu rahisi ndani ya miezi 6 hadi 12 kulingana na mpango aliochagua. Mfumo wetu wa kidijitali wa ulinzi wa simu (phone lock technology) huhakikisha malipo yanafanyika kwa wakati, hivyo kulinda biashara na kupunguza hatari ya hasara.
Dealer Anauza na Kulipwa Papo Hapo
Dealer anauza simu kwa mkopo kupitia mfumo wa EasyKopa bila kusubiri malipo ya mteja kwa wiki au miezi.
Baada ya mauzo kuthibitishwa, malipo ya Dealer hutolewa papo hapo. EasyKopa inasimamia ufuatiliaji wa wateja, malipo, na changamoto zozote za mkopo — hivyo Dealer anaendelea kuuza bila presha wala hatari.
Wakala Anajenga Kipato Kupitia Mauzo
SME (Wakala) hupata fursa ya kuuza simu kupitia mfumo wa EasyKopa bila kuhitaji mtaji mkubwa wa kuanzia.
Tunawawezesha kwa stock, mafunzo, na mfumo wa kufuatilia mauzo yao kila siku. SME hulipwa kamisheni kwa kila mauzo pamoja na bonasi za ziada kulingana na utendaji wao, hivyo kujenga kipato endelevu na cha uhakika.
- Upatikanaji wa stock
- Malipo ya kila siku
- Kamisheni kubwa
- Bonasi kila mwezi
Rahisi na salama.
Mfumo Salama wa Mauzo ya Mkopo
EasyKopa inakupa mfumo wa kidijitali unaorahisisha mauzo ya mkopo, kukulipa papo hapo, na kusimamia wateja kwa ufanisi bila hatari wala usumbufu.
4+
Miaka Sokoni
Tumejenga mfumo salama na thabiti kwa muda mrefu.
24h
Fedha Bila Kusubiri
Unauza leo, malipo yanathibitishwa haraka.
6-12
Miezi ya Marejesho
Malipo ya awamu yanayowezesha kila mtu kumudu.
100%
Mfumo wa Kidijitali
Ripoti, ufuatiliaji na takwimu kwa wakati halisi.
500+
Washirika Hai
Dealers na SMEs/Mawakala wanaokua pamoja nasi kila siku.